Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inauzwa Boko Chama, Dar Es Salaam





Boko, Dar es Salaam
16 hours ago
Sh. 130,000,000
Huduma na Sifa
Maelezo
Apartment zinauzwa zipo tatu,
Zipo Boko chama
Eneo lina sqm 900
Hati miliki ipo,
Kila nyumba ina vyumba viwili na zina wapangaji wanalipa sh. Laki 350
Bei Milioni 130
Maongezi yapo
Wasiliana nami
0784 234 971
0718809744
kARIBUNI SANA.















