Tafuta

Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inauzwa Kisota, Dar Es Salaam

Sh. 165,000,000

Huduma na Sifa

Hati
Uzio
Karibu na Barabara ya Lami

Maelezo

🏢 APARTMENT MBILI ZINAUZWA – KIGAMBONI KISOTA 🏢

Fursa nzuri ya uwekezaji katika eneo linalokua kwa kasi la Kigamboni Kisota.

✅ Apartment 2 ndani ya fensi moja
✅ Kila apartment ina:
• Vyumba 2 vya kulala
• Sebule
• Jiko

✅ Ukubwa wa eneo: Sqm 400
✅ Hati ya Wizara ipo
✅ Inafaa kwa uwekezaji wa upangishaji

📍 Mahali:
• Kilometa 1 kutoka barabara ya lami
• Kilometa 8 kutoka Feri ya Kigamboni
• Kilometa 9 kutoka Daraja la Nyerere

💰 Bei: TSh Milioni 165 (mazungumzo yapo kidogo)

📞0769554221

#trendingvideo #istagram #tanzania #realestateforsale #trendingnow

Matangazo mengine Kisota, Dar es Salaam