Apartment ya vyumba vitatu inapangishwa Kimara Stop Over, Dar Es Salaam









Maelezo
APARTMENT NZURI SANA INAPANGISHWA LOCATION KIMARA STOP OVER
Nyumba bado mpya kabisa ndy mafundi wanapigq langi vioo vinawekwe kesho
Mjeno huu unavyumba 3 vyakulala kimoja masta jiko lakisasa sebule kubwa sana
Kuona kulipia sawa kutoka rod mpaka kwenye nyumba km moja
Bei ya nyumba 700000x6
SIMU YA KUPIGA
+255 684 88 14 29
+255 684 88 14 29
MSHATI















