Tafuta

Apartment ya vyumba vitatu inapangishwa Tabata Kinyerezi Makofia, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
Sh. 400,000/month

Maelezo

Apartment mpya inapangishwa bei 400000 ina vyumba 3 vya kulala chumba kimojawapo master bedroom, sebule, jiko na public toilet, umeme na maji unajitegemea, kutoka kituoni dakika 6 hadi 8 hivi, hii apartment ipo maeneo ya tabata kinyerezi makofia dar es salaam

Calls/whatsapp au

Service charge 20000
Malipo dalali

Dalali tabata kinyerezi tz

dalali_tabata_kinyerezi_tz

@dalali_tabata_kinyerezi_tz

View Listings

Matangazo mengine Tabata, Dar Es Salaam

Apartment ya vyumba vitatu inapangishwa Tabata Kinyerezi, Dar Es Salaam

Sh. 2,000,000/month

For Rent3 beds1 bathapartment
Dalali tabata kinyerezi tz