Apartment ya vyumba vitatu inapangishwa Temboni, Dar Es Salaam







Aina
Apartment
Vyumba
3
Bafu
1
Huduma na Sifa
Maelezo
Apartimenty Inapangishwa ipo temboni kulia kama unaelekea mbezi
Umbali Dk. 0 zilo
Apartimenty hii Inavyumba vitatu vyakulala kimoja mastar. Inasebule jiko napablick toilet
Inateles gyupsam aluminium
Inajitegemea umeme namaji
Ndani yafensi nyumba mbili
Full peving block
Kodi 600x6
Kuonanyumba elfu 20
Utamlipa Dalali kodi yamwezi mmoja ukilipia nyumba
Call
CONTACT ME:: 0672 673363 / 0763 219307















