Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Kigamboni, Kigamboni, Dar Es Salaam
6 months ago
Sh. 600,000
Aina
Nyumba
Vyumba
3
Maelezo
Nyumba inapangishwa sifa zake ni
Vyumba 3 vya kulala chumba kimoja ni master bedroom Sebule jiko n K
Kodi 600k kwa mwezi
Ipo kigamboni Kisiwani tuwasiliane mapema wateja Wangu
๐โ 0718630932
Kalibuni wateja Wangu
