Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Sala Sala, Dar Es Salaam

Sala Sala, Dar es Salaam
2 months ago
Sh. 700,000/month
Huduma na Sifa
Maelezo
Nyumba lnapangishwa,lnajitegemea ipo Sala sala ushuani
Vyumba vitatu kimoja master, Sitting Room, Dining Room, Kitchen na Public Toilet.
Bei ni 700,000
kwa mwezi, Malipo ni miezi 6 na mwezi 1 malipo ya Dalali.
Gharama za kuona 20,000
Wasiliana nami kwa
0718 809 744
Karibuni sana















