Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Tegeta Wazo, Dar Es Salaam



Aina
Nyumba
Vyumba
3
Bafu
1
Huduma na Sifa
Maelezo
Nyumba Inapangishwa. Inajitegemea, Ipo Tegeta Wazo
Ina Vyumba vitatu vya kulala, kimoja ni Master, Dining Room, Sitting Room, Kitchen, Public Toilet.
Umeme wa Luku
Dawasa
Bei ni laki 500.000
Gharama ya kuona
20,000
Wasiliana nami
0718 809 744















