Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Temboni, Dar Es Salaam







Aina
Nyumba
Vyumba
3
Bafu
1
Barabara ya Karibu
2.5km
Awali
Inaruhusiwa
Huduma na Sifa
Maelezo
Mpyaaaaa mpyaaaaa Inapangishwa ipo temboni kulia kama unaelekea mbezi
Umbali km.2.5 kufika usafiri boda au bajaji ukishuka bajaji unatembea dk 7
Muundo wanyumba
Vyumba vitatu vyakulala kimoja master sebule kubwa jiko napablick toilet
Ndani yafensi nyumba 5 kilamoja Inajitegemea umeme namaji
Kodi 410x6
Kuonanyumba elfu 20
Utamlipa dalali kodi yamwezi ukilipia nyumba
Call📲
DALALI KIMARA SUKA LEONARD
0719-092747
0683-387747















