Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Wazo Mashamba Ya Jeshi, Dar Es Salaam


Huduma na Sifa
Maelezo
Nyumba Inapangishwa. Inajitegemea, Ipo Wazo Mashamba ya Jeshi.
Ina Vyumba vitatu vya kulala, Vyote ni Master, Dining Room, Sitting Room, Kitchen, Public Toilet.
Umeme wa Luku
Dawasa
Bei ni Million 1
Gharama ya kuona
20,000
Wasiliana nami
0718 809 744















