Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Buyuni, Dar Es Salaam

video thumbnail
Sh. 50,000

Aina

Nyumba

Vyumba

3

Maelezo

NYUMBA YENYE HATI, VYUMBA 3,TSHS.35 MILIONI,BUYUNI-CHANIKA.

Ipo eeneo la KWA-MASISTA/KIGEZI/KWA BENI BAR
Wastani wa mita 100 tu kutoka Barabara ya Lami.

Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 700.
Umiliki ni HATI (Title Deed) ya Wizara.

Inahitaji umaliziaji ujenzi.

_______________

ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)

Tafadhali wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratatibu zangu.

+255 714 591 548

_______________jj