Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Mabwepande, Dar Es Salaam

video thumbnail

Aina

Nyumba

Vyumba

3

Maelezo

NYUMBA INAUZWA NA BANK, ROOM 3,TSHS 40 MILIONI,MABWEPANDE.

Ni umbali wa wastani wa kilomita 3 tu kutoka BUNJU-B,
Yaani Barabaraya BAGAMOYO.

Kiwanja SQM.400.
Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO.

Ina Vyumba 3 ( Masta 1)
Poa ina Sebule, Jiko, Dining-room,
Store na Choo cha Familia ndani.

_____________

ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)

Tafadhali wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratatibu zangu.

+255 714 591 548

____________jj

Tafuta unachotaka Mabwepande, Kinondoni, Dar Es Salaam