Tafuta
-
-

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Buigiri Madukani, Dodoma

video thumbnail
Sh. 235,000,000

Huduma na Sifa

Tiles
Makabati
Jiko
Jiko la nje
Chumba cha kulala cha nje
Boma limekamilika hatua ya ukuta

Maelezo

🏠 NYUMBA ZINAUZWA – CHAMWINO IKULU, DODOMA

📍 Buigiri Madukani, jirani na Majengo ya Ikulu / karibu na Mtumba

Zinauzwa nyumba 2 pamoja na boma 1 eneo moja:

1) Nyumba ya Kwanza

âś… Ina uwezo wa kukaa familia 7
âś… Mpangilio wa chumba + sebure

2) Nyumba ya Pili

âś… Ina vyumba 3 vya kulala
âś… Ina sebure
âś… Nje kuna jiko
âś… Pia kuna chumba 1 cha kulala cha nje

3) Boma

âś… Limekamilika hatua ya ukuta
âś… Limebaki kupaua tu
âś… Lina milango 7 ya kuingia
âś… Kila mlango una: sebure + jiko + master bedroom

đź’° Bei: Tsh 235,000,000 (Milioni 235)

🔥 CHA KUWAHI SANA!

📞 0622 003 172
📲 Instagram: dalali_dodoma_professor