Tafuta

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Kibada Mwela, Dar Es Salaam (800 sqm)

 media -1
media -1
Sh. 115,000,000

Maelezo

🏡 NYUMBA YA KUHAMIA INAUZWA – KIGAMBONI KIBADA MWELA 🏡

Unatafuta nyumba nzuri ya kuhamia mara moja? Hii ni fursa yako ya kupata nyumba katika eneo tulivu na linalokua kwa kasi la Kibada Mwela, Kigamboni.

✅ Vyumba 3 vya kulala
✅ Vyumba 2 Master
✅ Sebule kubwa na eneo la dining
✅ Jikoni lenye nafasi ya kutosha
✅ Plot Size: SQM 800
✅ Mazingira mazuri kwa familia na uwekezaji

📍 Umbali
• Kilomita 1 kutoka barabara kuu
• Kilomita 10 kutoka Ferry
• Kilomita 7 kutoka Daraja la Nyerere

💰 Bei: Milioni 115 tu (Mazungumzo yapo kwa mnunuzi makini)
📞0769554221

Karibu sana Kigamboni Property – Tunakuunganisha na nyumba bora kwa bei sahihi! 🏠✨

#trendingvideo #istagram #realestateforsale #tanzania🇹🇿 #trendingsongs

Matangazo mengine Kibada, Dar Es Salaam

Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Kibada, Dar Es Salaam (600 sqm)

Sh. 800,000,000

For Sale4 beds4 baths600 sqmhouse