Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Kibamba Shule Kibwegere, Dar Es Salaam (400 sqm)

Aina
Nyumba
Vyumba
3
Bafu
2
Ukubwa
400 SQM
Barabara ya Karibu
3.5km
Huduma na Sifa
Maelezo
NYUMBA INAUZWA KIBAMBA SHULE KIBWEGERE SEC. DSM
Eneo sqm 400
Vyumba 3 vya kulala kimojawapo master bedroom sebule kubwa jiko na public toilet
Bei Mil. 45 maongezi yapo
Nyumba inamaji na umeme
Umbali KM 3.5 Barabara ni lamiiiiii
Kupelekwa kuona nyumba 25,000/=
0684561351















