Tafuta

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Kigamboni Gezaulole – Bamba Beach, Dar Es Salaam

video thumbnail
Sh. 450,000,000

Maelezo

🏖️ NYUMBA YA KISASA (BEACH HOUSE) INAUZWA – KIGAMBONI GEZAULOLE, BAMBA BEACH

Unatafuta nyumba ya kifahari karibu na bahari? Hii ni nafasi ya kipekee kuishi au kuwekeza!

🔹 Sifa za Nyumba:
• Vyumba 3 – vyote master (self-contained)
• Sebule kubwa na ya kisasa
• Jiko la kisasa lenye nafasi ya kutosha
• Mandhari tulivu karibu na ufukwe (beach)

📍 Eneo: Kigamboni Gezaulole – Bamba Beach
📄 Hati: Hati halali ya Wizara
💰 Bei: Milioni 450 (maongezi yapo)

#trendingvideos #tanzania#istagram #realestateforsale #trendingaudio

Matangazo yanayofanana Kigamboni, Dar Es Salaam

Nyumba ya vyumba viwili inauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam (1800 sqm)

Sh. 135,000,000

  • Uzio

  • Karibu na Barabara ya Lami

  • Site Visit Bure

Nyumba ya vyumba vitano inauzwa Kibada C Ya Radi, Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 900,000,000

  • Air Conditioning

  • Paving Blocks

  • Karibu na Barabara ya Lami

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Mikwambe, Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 55,000,000

  • Jiko

  • Ardhi Tambarare

  • Karibu na Barabara ya Lami