Tafuta

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Kigamboni Kisota, Dar Es Salaam

video thumbnail
Sh. 500,000,000

Maelezo

🏒πŸ”₯ GHOROFA 2 ZINAUZWA – KIGAMBONI KISOTA, DAR ES SALAAM πŸ”₯🏒

Fursa adimu sana ya uwekezaji kwenye eneo la kishua kabisa Kigamboni Kisota! Nyumba hizi ziko kwenye kona plot na zinagusa barabara kubwa inayoelekea lami. Zinafaa kwa makazi ya kifahari au uwekezaji wa kupangisha. ✨

πŸ“ Location: Kigamboni Kisota, Dar es Salaam
βœ… Kilomita 3 tu mpaka Daraja
βœ… Kilomita 4 mpaka Ferry
βœ… Zinagusa barabara kubwa
βœ… Mazingira mazuri sana na ya kishua

🏠 Nyumba zote ni ghorofa za kisasa:
βœ… Vyumba 3 vya kulala
βœ… Sebule kubwa
βœ… Dining room
βœ… Jiko la kisasa
βœ… Parking kubwa
βœ… Fence na mazingira safi
βœ… Nyumba kali sana na zimejengwa kisasa

πŸ’Έ Uwekezaji wenye faida:
βœ… Kila nyumba inaweza kupangishwa zaidi ya Milioni 1.5 kwa mwezi
βœ… Zinafaa kwa familia za kisasa au rental investment

πŸ”₯ Nyumba zinauzwa zote kwa pamoja
Ukihitaji nyumba za kifahari kwa matumizi binafsi au uwekezaji, hii ni deal nzuri sana.

πŸ’° Bei: TZS Milioni 500 tu
πŸ—£ Mazungumzo kidogo yapo

πŸš— Service Charge: TZS 30,000 kwa site visit

πŸ“ž Call/WhatsApp: +255746407197

#creatorsearchinsights #dalalikigamboni #dalalidar es salaam #dalalinyumbaviwanja #realestateapartment dalalidaressalaam kigamboni ghorofazinauzwa realestateinvestment dar es salaam fyp viral

Matangazo yanayofanana Kigamboni, Dar Es Salaam

Nyumba ya vyumba viwili inauzwa Kigamboni Kisota, Dar Es Salaam

Sh. 350,000,000

For Sale2 beds
  • Hati

  • Dining

  • Jiko

Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Kigamboni Kisota, Dar Es Salaam (1200 sqm)

Sh. 400,000,000

For Sale4 beds0 baths1,200 sqmhouse
  • Air Conditioning

  • Bustani

  • Chumba cha Msaidizi

Nyumba ya vyumba vitano inauzwa Bamba Beach, Kigamboni, Dar Es Salaam (1200 sqm)

Sh. 350,000,000

For Sale5 beds1,200 sqmhouse
  • Dining

  • Jiko

  • Sebule

Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Kigamboni Kibada, Dar Es Salaam (800 sqm)

Sh. 110,000,000

For Sale4 beds800 sqmhouse
  • Karibu na Barabara ya Lami

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Mwongozo, Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 65,000,000

For Sale3 beds600 sqm
  • Hati

  • Sebule

  • Jiko

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Kigamboni Njimwema (Kibugumo), Dar Es Salaam (600 sqm)

Sh. 165,000,000

For Sale3 beds2 baths600 sqmhouse
  • Air Conditioning

  • Parking Space

  • Paving Blocks

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Kibugumo, Njimwema, Kigamboni, Dar Es Salaam (600 sqm)

Sh. 165,000,000

For Sale3 beds2 baths600 sqmhouse
  • Air Conditioning

  • Maji

  • Parking Space

Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Kigamboni Kisota, Dar Es Salaam (1200 sqm)

Sh. 400,000,000

For Sale4 beds1,200 sqmhouse
  • Air Conditioning

  • Bustani

  • Gypsum

Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Kigamboni Kisota, Dar Es Salaam (1200 sqm)

Sh. 400,000,000

For Sale4 beds1,200 sqmhouse
  • Hati

  • Air Conditioning

  • Bustani

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Kigamboni Kisarawe (Kibadeni), Dar Es Salaam (1000 sqm)

Sh. 110,000,000

For Sale3 beds1,000 sqmhouse
  • Parking Space

  • Uzio

  • Dining

Apartment ya vyumba viwili inauzwa Kigamboni, Kisota, Dar Es Salaam

Sh. 160,000,000

For Sale2 bedsapartment
  • Uzio

  • Kisima

  • Ardhi Iliyopimwa