Tafuta

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Kiluvya Madukani, Pwani (600 sqm)

video thumbnail
Kiluvya, Pwani
14 hours ago
Sh. 65,000,000

Maelezo

NYUMBA MPYA, VYUMBA 3,TZS.65 MILIONI,KILUVYA MADUKANI.

Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 600.
Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO.

Nyumba nzuri na ina eneo kubwa.
Ipo umbali wa kilomita 6 kutoka Barabara ya Morogoro.

Vyumba 3 (Masta 1)
Pia kuna Sebule, Jiko, Dining-room,
Store na Choo cha Familia ndani.

WAHI KABLA HAIJAWAHIWA UJE USIKITIKE.

_________________

ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)

Tafadhali wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratatibu zangu.

+255 714 591 548

_________________mpg