Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Kiluvya-Madukani, Pwani (600 sqm)


Kiluvya, Pwani
5 hours ago
Sh. 80,000,000
Aina
Nyumba
Vyumba
3
Bafu
1
Ukubwa
600 SQM
Barabara ya Karibu
2.5km — Morogoro Road
Maelezo
NYUMBA YENYE VYUMBA 3,TZS.80 MILIONI,KILUVYA-MADUKANI.
Ni umbalk wa kilomita 2.5 kutoka Barabara ya Morogoro.
Kiwanja SQM.600.
Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO.
Nyumba ipo ndani ya Fensi.
Vyumba 3( Masta 1) Pia ina Sebule,Jiko,
Dining-room, Store na Choo cha Familia ndani.
_______________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratatibu zangu.
______________ambx















