Tafuta

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Kimara Korogwe, Dar Es Salaam (890 sqm)

Sh. 160,000,000

Maelezo

NYUMBA YENYE HATI, VYUMBA 3,TZS.160 MILIONI, KIMARA-KOROGWE.

Ni ya-pili kutoka Barabara ya Zege.
Hakuna changamoto yoyote kufika ilipo na
Mazingira ni mazuri.

Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 890.
Umiliki ni HATI (Title Deed) ya Wizara.

Vyumba 3 (Masta 1)
Pia ina Sebule, Jiko, Dining-room,
Store na Choo cha Familia ndani.

Nyumba ina AC.
Haina Fensi.

AINA WA NYUMBA HII NA UWEKEZAJI WAKE
NI ADIMU KWA MSENEO HAYA.

_______________

ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)

Tafadhali wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratatibu zangu.

+255 714 591 548

_______________alSx

Matangazo mengine Kimara, Dar Es Salaam

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Kimara Temboni, Dar Es Salaam (600 sqm)

Sh. 210,000,000

For Sale3 beds2 baths600 sqmhouse
Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Kimara Bonyokwa, Dar Es Salaam (600 sqm)

Sh. 145,000,000

For Sale4 beds3 baths600 sqmhouse
Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Kimara Bonyokwa, Dar Es Salaam (600 sqm)

Sh. 145,000,000

For Sale4 beds3 baths600 sqmhouse
Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Kimara Mwisho, Dar Es Salaam (400 sqm)

Sh. 90,000,000

For Sale3 beds2 baths400 sqmhouse