Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Kisesa Igudija, Mwanza (600 sqm)

Kisesa, Magu, Mwanza
2 days ago
Sh. 100,000,000
Aina
Nyumba
Vyumba
3
Ukubwa
600 SQM
Huduma na Sifa
Tiles
Stoo
Public Toilet
Tanki la Maji
Maelezo
• NYUMBA INAUZWA 🏠
📍IPO KISESA IGUDIJA MWANZA
👉 Ina vyumba vitatu vyakulala, vyumba viwili ni self, sebule kubwa, dinning, jiko, stoo, public toilet & SimTank
👉 Nyumba Imekamilika kila kitu ndani (Ni Yakuamia)
👉 Ukubwa wa kiwanja ni SQM 600
INAUZWA MILIONI 100 (Maongezi kidogo Yapo)
Piga simu kwa maelezo zaidi: 0765430905
