Tafuta

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Madale Flamengo, Dar Es Salaam

video thumbnail
Sh. 150,000,000

Huduma na Sifa

Uzio
Fence ya Umeme
Karibu na Barabara ya Lami
Sebule
Dining
Jiko

Maelezo

🏡 NYUMBA INAUZWA – MADALE FLAMENGO

Nyumba nzuri na ya kisasa inauzwa ipo Madale Flamengo, karibu kabisa na barabara ya lami — umbali wa takriban mita 20 tu (dakika 1). Inafikika kirahisi kwa gari aina yoyote, barabara ni nzuri na rafiki.

✨ Sifa za Nyumba:
• Vyumba 3 vya kulala
• Vyumba 2 ni Master
• Sebule kubwa
• Dining kubwa
• Jiko la kisasa
• Choo cha wageni (public)
• Ipo ndani ya fence
• Ina electric fence
• Geti la kisasa la kuteleza (sliding gate)

📍 Eneo ni tulivu, salama na lina neighborhood nzuri sana

💡 Inafaa kwa makazi binafsi au uwekezaji

💰 Bei: Milioni 150 (mazungumzo yapo kidogo)

📞 Muhitaji piga: +255688412890
💼 Service charge: 30,000/=

Karibu ndugu mteja, fanya uwekezaji sahihi leo!

Matangazo yanayofanana Madale, Dar Es Salaam