Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Majohe, Dar Es Salaam

Majohe, Ilala, Dar Es Salaam
21 days ago
Sh. 25,000,000
Aina
Nyumba
Vyumba
3
Bafu
2
Barabara ya Karibu
1.5km — Gongolamboto Mwisho
Huduma na Sifa
Sebule
Jiko
Dining
Stoo
Karibu na Barabara
Fremu Ya Biashara
Maelezo
NYUMBA YA MIL.25 HII HAPA,MAJOHE KAMPALA UNIVERSITY.
BEI SASA IMEPOROMOKA.
BANK WANATAKA CHAO MAISHA YAENDELEE.
Weka 10% ya Dalali juu Chukua Makazi ya
Familia ya kuduma.
Awaiting ilikuwa inauzwa Milioni 37.
SASA MUNGU AKUPE NINI?
WAHI.
Vyumba 3 (Masta 1)
Pia kuna Sebule, Jiko,Dining-room,
Store na Choo cha Familia ndani.
Na pia kuna Fremu moja ya Biashara.
Kilomita 1.5 kutoka GONGOLAMBOTO Mwisho.
_______________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratatibu zangu.
+255 714 591 548
_______________jj
