Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Mbagala Chamazi (Mapemba), Dar Es Salaam

video thumbnail
Sh. 45,000,000

Aina

Nyumba

Vyumba

3

Bafu

1

Huduma na Sifa

Sebule
Dining
Jiko
Public Toilet
Umeme
Maji

Maelezo

๐Ÿ  NYUMBA INAUZWA โ€“ MBAGALA CHAMAZI (MAPEMBA)

๐Ÿ’ฐ Bei: Milioni 45 (mazungumzo yapo, njoo site)

Nyumba nzuri na ya kisasa inauzwa, ipo Mbagala Chamazi โ€“ Mapemba, eneo tulivu na linafikika kwa urahisi.

โœจ Sifa za nyumba:

Vyumba 3 vya kulala (kimoja Master Bedroom)

Sitting Room

Dining Room

Jiko

Public Toilet

Umeme wa LUKU upo

Maji yanapatikana

๐Ÿ“ Nyumba ipo kwenye mazingira mazuri, inafaa kwa makazi ya familia.

๐Ÿ”ฅ Usikose fursa hii!
Hasara kwa muuzaji, faida kwa mnunuzi. Njoo site ujionee mwenyewe.

๐Ÿ“ž Kwa maelekezo zaidi:
Piga simu: 0683 665504