Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Mbezi Beach Makonde, Dar Es Salaam (650 sqm)

video thumbnail
Sh. 140,000,000

Aina

Nyumba

Vyumba

3

Ukubwa

650 SQM

Huduma na Sifa

Sebule
Dining
Jiko

Maelezo

#NYUMBA_ INAUZWA#

MAHALI MBEZI BEACH MAKONDE

UKUBWA ENEO SQM 650

BEI YA KUUZA ML 140
Maongezi yapo

SIFA: Ina vyumba vitatu vya kulala master sebule dinning jiko pamoja na jiko la nje

Nk nyumba imenyooka Aina kipengele labda uje nacho wewe kipengele mwenye nyumba yupo hapo hapo

#Fuata protocol utakosa hela✌️

KWA MAELEZO ZAIDI
dalali_mbezi_beach_godfrey1
0625584914