Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa MBEZI KIBANDA CHA MKAA, Dar Es Salaam (2000 sqm)

Mbezi, Ubungo, Dar Es Salaam
3 days ago
Sh. 160,000,000
Aina
Nyumba
Vyumba
3
Ukubwa
2000 SQM
Barabara ya Karibu
500m — Barabara ya Morogoro
Huduma na Sifa
Dining
Jiko
Stoo
Sebule
Feni
Mkata wa mauziano
Maelezo
NYUMBA TATU ZA KUMALIZIA,TSHS.160 MILIINI,MBEZI KIBANDA CHA MKAA.
Ni umbali wa wastani wa mita 500 tu kutoka
Barabara ya Morogoro.
Kiwanja kina ukubwa wa SQM.2,000.
Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO.
Kila nyumba inajitegemea na ina jumla ya vyumba 3.
Masta ni moja. Pia na Sebule, Jiko,
Dining-room, Store na Choo cha Familia ndani.
Ineo la kuweza kujenga zaidi lipo.
________________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratatibu zangu.
+255 714 591 548
_________________mpg
