Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Mbezi Msakuzi Machimbo, Dar Es Salaam (800 sqm)









Huduma na Sifa
Maelezo
Nyumba nzuri sana inauzwa bei milion 550, sifa ya nyumba hizi kuna nyumba ya vyumba 3 vyumba vyote ni master bedrooms, sebule kubwa sana, dining room, dining room, kitchen, public toilet, pia kuna apartment za vyumba 2 zipo 3, pia kuna swimming pool, mazingira mazuri sana na ya kifahari, ukubwa wa eneo la kiwanja square meter 800, Location mbezi msakuzi machimbo dar es salaam
Calls/whatsapp 0768682919 au 0653233641
Service survey charge tsh 70000
Napatikana tabata kinyerezi mbuyuni opposite na ngekili hotel dar es salaam















