Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Msongola, Dar Es Salaam (420 sqm)

video thumbnail
Sh. 35,000,000

Aina

Nyumba

Vyumba

3

Ukubwa

420 SQM

Huduma na Sifa

Uzio
Sebule
Jiko
Dining
Stoo
Public Toilet

Maelezo

NYUMBA VYUMBA 3, FREMU MOJA,TSHS.35 MILIONI,MSONGOLA.

Kiwanja kinaukubwa wa SQM. 420.
Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO.

Ipi jirani na Kitui cha Daladala.
Ndani ya Fensi.

Vyumba 3 ( Masta 1)
Pia ina Sebule, Jiko, Dining-room,
Store na Choo cha Familia ndani.

_________________

ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)

Tafadhali wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratatibu zangu.

+255 714 591 548

_________________mskv