Nyumba/Apartment ya vyumba vitatu inapangishwa Mlimwa C, Dodoma

Huduma na Sifa
Maelezo
🏡 3 Bedroom Apartment Classic
✅ Vyumba 3 vya kulala
✅ Sebule kubwa nzuri
✅ Dining area
✅ Jiko zuri lenye makabati
✅ Wapangaji wa nne (4) tu kwenye fensi
✅ Umeme na maji unajitegemea
📍 Mahali: Mlimwa C
🛣️ Jirani na lami
💰 Kodi: 700,000/= kwa mwezi
📞 Mawasiliano:
0787037986
0757037986
Karibuni Bupalu Real Estate 🙏















