Apartment ya vyumba vinne inauzwa Kisota Ushuani, Kigamboni, Dar Es Salaam (1000 sqm)

Aina
Apartment
Vyumba
4
Ukubwa
1000 SQM
Huduma na Sifa
Maelezo
🏢 APARTMENT ZA KISASA ZINAUZWA – KIGAMBONI KISOTA USHUANI Zinauzwa apartment mbili za kisasa, zenye muundo mzuri na ziko katika eneo tulivu na lenye maendeleo. 🔹 Sifa za nyumba: * Vyumba 4 vya kulala * Sebule kubwa * Dining (eneo la kulia chakula) * Jiko la kisasa 🔹 Eneo: * Ukubwa wa eneo: SQM 1000 * Zipo Kisota Ushuani, Kigamboni * Zimegusa barabara mpya ya lami 🔹 Nyaraka: * Hati halali 💰 Bei: Tsh Milioni 380 🤝 Maongezi yapo 📞0769-554-221 #trendingvideos #istagram #tanzania🇹🇿 #realestateforsale #trendingnow














