Nyumba (Furnished) ya vyumba vinne inapangishwa Bunju B mwisho (Sokoni), Dar Es Salaam





Aina
Nyumba
Vyumba
4
Barabara ya Karibu
500m — Bagamoyo Road
Samani
Ndiyo
Huduma na Sifa
Maelezo
IMESHUKA BEI
Ghorofa linapangishwa
Na furniture zote ndani
Location: Bunju B mwisho (Sokoni)
*Bei Tshs 3.5ml Kwa mwezi*
NYUMBA YENYE:
* Vyumba vinne vya kulala vyote masta
* Sebule ziko mbili.
* Dining
* Jiko kubwa lenye makabati na store
* Public toilet
* Security cameras zipo
* Fensi yenye nyaya za umeme
* Sehemu kubwa ya kupaki magari
* Bustani nzuri
* Nyumba iko mitaa mzuri sana wa kishua
Umbali kutoka bagamoyo road meter 500
NOTE: Service charge 30,000, Tshs Commission ya mwezi mmoja ya agent
CONTACT /















