Nyumba ya vyumba vinne inapangishwa Kigamboni, Dar Es Salaam

video thumbnail
Sh. 1,500,000 per month

Aina

Nyumba

Vyumba

4

Maelezo

🏠 NYUMBA INAPANGISHWA (STANDALONE & SERVANT)

📍Kigamboni mnadani (Soko maziwa)

🏠Vyumba Vinne vyote master

💰Milion Moja na laki tano (1.5M) kwa mwezi

👉Sebule
👉Dining
👉Jiko
👉Choo cha jumuiya

⚡Electric fence
✅Nyumba ipo ndani ya fensi
✅Parking kubwa
✅Usalama wa uwakika
💧Maji ni masaa 24/7

📲Call/Whtsp
📲0714079500

Tafuta unachotaka Kigamboni, Kigamboni, Dar Es Salaam