Tafuta

Nyumba ya vyumba vinne inapangishwa Kimara Temboni, Dar Es Salaam

video thumbnail
Sh. 450,000/month

Maelezo

📍 NYUMBA INAPAGISHWA

KIMARA TEMBONI UPANDE WA KUSHOTO KAM UNAENDA MBEZI UMBALI KM 1.8

🏠 Nyumba kubwa sana, ziko 2 ndani ya fensi moja, zimetengana vizuri.
✅ Ina vyumba 4
✅ Vyumba 2 ni master bedroom
✅ Sebule kubwa
✅ Dining jiko kubwa san
✅ Public toilet
✅ Umeme na maji unajitegemea
💰 Kodi: TSh 450,000 kwa mwezi x miez 6
📍
🔧 Nyumba inaendelea na ukarabati mdogo mdogo.
NJOO CHAGUWA RANGI UNAYOTAKA

👀 Kwenda kuona nyumba 20K
📌 Agent malipo ya mwezi mmoja pindi utakapolipia nyumba.

Piga cm +255 (0) 654 101710 / +255 (0) 787 205300

Matangazo mengine Kimara, Dar Es Salaam