Nyumba ya vyumba vinne inapangishwa Mbeweni Jkt, Dar Es Salaam


Mbeweni JKT, Dar Es Salaam
6 hours ago
Sh. 2,000,000/month
Huduma na Sifa
Maelezo
Nyumba Inapangishwa. Inajitegemea, Ipo Mbweni Jkt
Ina Vyumba Vinne vya kulala, Viwili ni Master, Dining Room, Sitting Room, Kitchen, Public Toilet.
Umeme wa Luku
Dawasa
Bei ni Million 2
Gharama ya kuona
20,000
Wasiliana nami
0718 809 744
