Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Kimara, Dar Es Salaam

video thumbnail
Sh. 50,000

Aina

Nyumba

Vyumba

4

Maelezo

BANK IMEPUNGUZA BEI SASA TSHS.150 MILIONI,KIMARA STOP-OVER

Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 4,200

Hii ni nyumba kubwa, nzuri,
Yenye eneo kubwa
(Zaidi ya Eka)
Na ndani ya Fensi.

Ipo KIMARA-STOP-OVER,
KATA YA SARANGA.
Unaingilia Kituo cha Mafuta cha ATN.

Vyumba 4 vya kualala
( 2-Vyoo ndani)
Sebule, Jiko, Dining-room,
Store na Choo cha Familia ndani.

Umiliki ni HATI (Title Deed) ya Wizara.

______________

ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)

Tafadhali wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratatibu zangu.

+255 714 591 548

_____________jj