Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Makumbusho, Dar Es Salaam

video thumbnail
Sh. 650,000,000

Aina

Nyumba

Vyumba

4

Awali

Inaruhusiwa

Maelezo

Jumba Kali La Kisasa Linauzwa
Mahali: Makumbusho Near Stand

Bei: Milioni 650 (Unaweza Kulipa Kwa Awamu)

☑️Ukubwa: Sqm300
☑️Sifa: Vyumba 4 Vyote Master Sebule Mbili, Dining, Jiko & Vyoo
☑️Umiliki: Hati Miliki Ya Wizara✅
☑️Nyumba Ni Ya Viwango Sana
☑️Mita 50 Kutoka Lami

Gharama Ya Kuoneshwa Ni 50,000/= (Inalipwa Maramoja Na Itadumu Mpaka Upate.

Call & Whatsapp: 0746 433 854

Tafuta unachotaka Makumbusho, Kinondoni, Dar Es Salaam