Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Miganga, Singida

video thumbnail
Sh. 250,000,000

Aina

Nyumba

Vyumba

4

Maelezo

🏡 NYUMBA YA KIFAHARI INAUZWA 🔥
MIGANGA DODOMA

⚜️ Muundo wa Nyumba
• Vyumba 4 Vya Kulala Viwili Master)
• Sebule kubwa ya kisasa
* Dinning kubwa
• Jiko zuri lenye amenities zote 🔥🔥
• Public Toilet
• Swimming Pool safi na ya kuvutia 🏊‍♂️
• Kiwanja kikubwa SQM 1200 📐

⚜️ Huduma
- Nyumba imechimbwa kisima cha kisasa
- Umeme upo
- Barabara zinapitika Vizuri
- Km 3 Kutoka lami
- Km Tisa ( 9 ) Kutoka Mjini

💈 Document Hati ya Wizara

💵 Bei Milion 250* ( Fixed )

⚜️ Asilimia % 10 ya Madalali

⚜️ ZIADA
👉 Nyumba Ina Bwawa la Samaki

🙏🏻 Nyumba imejengwa kwa mpangilio wa kisasa, mazingira tulivu na ya hadhi

📲 DM kwa maelezo zaidi / viewing

☎️0787037986