Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Kibada, Dar Es Salaam (569 sqm)

Aina
Nyumba
Vyumba
4
Bafu
1
Ukubwa
569 SQM
Barabara ya Karibu
2sqm — Kibada Road
Maelezo
*NYUMBA INAUZWA MILIONI 120M NA BANK KWA MNADA WA HADHARA - KUPITIA NUTMEG AUCTIONEERS*
- Nyumba inapatikana Kibada karibia na Kituo cha mafuta Sk na Shule ya Cornerstone Primary School.
- Nyumba ya pili kutoka Lami ya kibada
- Nyumba kubwa yenye vyumba vinne vya kulala, viwili masters, Sebule, Public toilet, jiko, Store na Dinning
- Ina servant kota kubwa
- Ukubwa wa kiwanja 569sqm
- Ina Hati CALL 0683491594,0716974073 KWAMAELEZO ZAIDI PIGA CM















