Tafuta

Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Kigamboni Mji Mwema Kibugumo, Dar Es Salaam

video thumbnail
Sh. 210,000,000

Huduma na Sifa

Hati
Ardhi Iliyopimwa
Karibu na Barabara ya Lami
Site Visit Bure
Corner Plot
Modern Kitchen

Maelezo

NYUMBA NZURI INAUZWA – KIGAMBONI MJI MWEMA KIBUGUMO, DAR ES SALAAM

πŸ”₯ Nyumba kali sana inauzwa eneo zuri na la kishua Kigamboni Mji Mwema Kibugumo.

βœ… Ina vyumba 4 vya kulala
βœ… Master bedroom
βœ… Sebule kubwa
βœ… Dining area
βœ… Jiko la kisasa
βœ… Eneo kubwa la kutosha
βœ… Corner plot
βœ… Kiwanja kimepimwa
βœ… Kina Hati ya Wizara

πŸ“ Ipo mita 400 tu kutoka barabara ya lami
πŸ“ Mtaa mzuri na tulivu sana

🏠 Inafaa kwa:
βœ”οΈ Kuishi familia
βœ”οΈ Kupangisha
βœ”οΈ Uwekezaji wa muda mrefu

βš’οΈ Finishing zilizobaki ni chache sana kama:
πŸ”Ή Paving
πŸ”Ή Aluminium baadhi ya maeneo
πŸ”Ή Marekebisho madogo ya mwisho

πŸ’° Bei: TZS Milioni 210
🀝 Mazungumzo yapo

πŸ’΅ Service Charge: TZS 30,000 kwa site visit

πŸ“ž Call/WhatsApp: +255614130017

#creatorsearchinsights #dalalikigamboni #dalalidar es salaam #dalalinyumbaviwanja #realestateapartment dalalidaressalaam kigamboni mjiMwema kibugumo nyumbazinauzwa dreamhouse dar es salaam

Matangazo yanayofanana Kigamboni, Dar Es Salaam

Nyumba inauzwa Kibada Kigamboni, Dar Es Salaam (1000 sqm)

Sh. 350,000,000

  • Ardhi Tambarare

  • Karibu na Barabara ya Lami

Nyumba ya vyumba 6 inauzwa Geza, Kigamboni, Dar Es Salaam (1000 sqm)

Sh. 610,000,000

  • Parking Space

  • Umeme

  • Chumba cha Msaidizi

Nyumba inauzwa Kigamboni Kibada, Dar Es Salaam (1100 sqm)

Sh. 850,000,000

  • Air Conditioning

  • Parking Space

  • fenced

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Kisota Kigamboni, Dar Es Salaam (700 sqm)

Sh. 175,000,000

  • Ardhi Tambarare

  • Karibu na Barabara

  • Stoo