Tafuta

Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Madale Mivumoni, Dar Es Salaam

video thumbnail
Sh. 450,000,000

Maelezo

🏡 Nyumba Inauzwa – Madale Mivumoni
📍 Ipo Madale Mivumoni

➡️ Nyumba ya pili kutoka barabara ya lami
📐 Ukubwa wa kiwanja: SQM 1500

✨ Sifa za nyumba: 🛏️ Vyumba 4 vya kulala
✅ Vyote Master
🛋️ Sebule kubwa
🍽️ Jiko kubwa

🐔 Kwa wafugaji ni fursa nzuri sana — kuna mabanda ya kuku tayari.

📄 Documents: Hati Miliki

💰 Bei: yakuuza Milioni 450

PIGA SIMU

O746 433 854

.