Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Makumbusho, Dar Es Salaam (300 sqm)

video thumbnail
Sh. 650,000,000

Aina

Nyumba

Vyumba

4

Ukubwa

300 SQM

Barabara ya Karibu

50m

Huduma na Sifa

Hati
Tiles
Jiko
Sebule
Dining
Karibu na Barabara ya Lami

Maelezo

Ghorofa La Kisasa Linauzwa
Mahali: Makumbusho Near Stand
Bei: Milioni 650 ☑️
Ukubwa: Sqm300 ☑️

Sifa: Vyumba 4 Vyote Master Sebule Mbili, Dining, Jiko & Vyoo ☑️Umiliki: Hati Miliki Ya Wizara✅ ☑️Nyumba Ni Ya Viwango Sana ☑️Mita 50 Kutoka Lami

0794277000

Tafuta unachotaka Makumbusho, Kinondoni, Dar Es Salaam