Tafuta

Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Makumbusho, Dar Es Salaam (400 sqm)

 media -1
media -1
media -2
media -3
media -4
media -5
media -6
Sh. 650,000,000

Maelezo

Nyumba nzuri na mpya inauzwa bei milion 650, ukubwa wa eneo la kiwanja square meter 400, umiliki nyumba ina hati miliki ya wizara ya aridhi, ina vyumba 4 vya kulala vyumba vyote master berooms, ina sebule 2, jiko lenye makabati, kubwa, dining room 2, public toilet 2, store, cctv camera, electric fence, remote control gate, full air-condition & fan, Location makumbusho dar es salaam

Calls/Whatsapp 0768682919 au 0653233641

Service survey charge tsh 50000

Napatikana tabata kinyerezi mbuyuni opposite na ngekili hotel dar es salaam

Matangazo yanayofanana Makumbusho, Dar Es Salaam