Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Mbagala Chamazi, Mzambaluni, Dar Es Salaam

video thumbnail
Sh. 65,000,000

Aina

Nyumba

Vyumba

4

Bafu

3

Huduma na Sifa

Sebule
Dining
Jiko
Public Toilet
Karibu na Barabara ya Lami
Karibu na Barabara

Maelezo

๐Ÿ  NYUMBA INAUZWA โ€“ MBAGALA CHAMAZI (MZAMBALUNI)

Nyumba nzuri ya kisasa inauzwa kwa bei ya TSh Milioni 65 tu
(Maongezi yapo โ€“ njoo site uone mwenyewe!)

๐Ÿ“ Location: Mbagala Chamazi, Mzambaluni
๐Ÿšถ Umbali: Dakika 5 tu kwa miguu kutoka barabara kuu ya lami

Sifa za Nyumba:

Vyumba 4 vya kulala

2 Master Bedroom

Sitting Room kubwa

Dining Room

Jiko la kisasa

Public Toilet

โœจ Nyumba ni kubwa, ya kisasa na ipo kwenye mazingira mazuri sana
๐Ÿ”ฅ Mwenye nyumba yupo kwenye uhitaji mkubwa โ€“ bei hii ni ya โ€œkutupaโ€ kabisa!

๐Ÿ“ž Wahi sasa kwa maelezo zaidi: 0683 665504