Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Mbezi Makabe, Dar Es Salaam (500 sqm)

video thumbnail
Sh. 98,000,000

Aina

Nyumba

Vyumba

4

Bafu

4

Ukubwa

500 SQM

Barabara ya Karibu

1km

Huduma na Sifa

Sebule
Dining
Jiko
Stoo
Public Toilet
Fence ya Umeme

Maelezo

NYUMBA INAUZWA MILLION 98 MBEZI MAKABE ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ

โžก๏ธINA VYUMBA VINNE VYA KULALA IKIWA VYUMBA VITATU NI MASTER.
โžก๏ธINA SEBLE KUBWA, DINNING ROOM, JIKO, STOO NA PUBLIC TOILET.

โžก๏ธINA ELECTRIC FENCE
โžก๏ธMAJI YA DAWASSA

โžก๏ธ DOCUMENTS: SERIKALI YA MTAA

โžก๏ธIPO UMBALI WA KILOMITA 1 KUTOKA BARABARA KUU INAYOWEKWA LAMI

โžก๏ธENEO NI SQM 500

โžก๏ธ BARABARA NI RAFIKI SANA KWA GARI

KWA MAELEZO ZAIDI PIGA SIMU NDUGU MTEJA ๐Ÿ™๐Ÿ™

PIGA SIMU 0789049684