Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Tabata Segerea, Dar Es Salaam (460 sqm)









Aina
Nyumba
Vyumba
4
Bafu
4
Ukubwa
460 SQM
Barabara ya Karibu
3m
Huduma na Sifa
Maelezo
π‘ NYUMBA YA KISASA INAUZWA β TABATA SEGEREA π‘
π Nyumba ya 3 kutoka lami, eneo zuri na salama
π° Bei: Milioni 550 (Mazungumzo yapo)
Sqm 460 Hati IPO β
β
Vyumba 4 (Viwili Master)
β
Sebule 2 + Balcony
β
Dining na Jiko la kisasa
β
AC na Mafeni tayari
β
Boyβs Quarter
β
Kisima na Parking
β
Ndani ya Fensi
β
Hati Miliki ya Wizara
Service Charge: 30,000/=
π 0746 433 854
#daressalaam #nyumba #dalali















