Nyumba ya vyumba vitano inauzwa Pugu, Ilala, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
media -2
media -3
media -4
media -5
media -6
Sh. 10,000

Aina

Nyumba

Vyumba

5

Ukubwa

45 SQM

Samani

Ndiyo

Maelezo

Ina vyumba vitano (5) Kimoja master Jiko Sebre Store Maji yapo , gari inafika dakika tano kwa miguu adi stend ya kigogo kwa raisi umeme eneo la packingi pia lipo haiko bondeni kiwanja tambarale document serikali ya mitaa