Tafuta

Nyumba ya vyumba vitano inauzwa Goba Center, Dar Es Salaam (800 sqm)

video thumbnail
Sh. 1,230,000,000

Maelezo

✨Nyumba mpya Kali sana inauzwa Ina vyumba vitano vikubwa vyote masterbedrooms vina makabati yanguo, sebule kubwa, dinning na jiko lakisasa lenye makabati mazuri sana full Ac & heater

✨Ina swimming pool, pagola, gardens & parking kubwa

✨Documents: hati miliki mpya

✨Ukubwa sqmt 800

✨Location: Goba Center

✨Bei: Billion 1 & million 230 (maongezi yapo)

🙏🏽karibu sana boss wangu fanya kazi na madalali tuonaotambulika kisheria hepuka matapeli , ofisi zetu zinapatikana nyuma ya Skycity mall

📞0748403079

Matangazo mengine Goba, Dar Es Salaam

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Goba, Dar Es Salaam

Sh. 210,000,000

For Sale3 bedshouse
Nyumba ya vyumba vitano inauzwa Goba Centre, Dar Es Salaam (1200 sqm)

Sh. 750,000,000

For Sale5 beds5 baths1,200 sqmhouse