Nyumba ya vyumba vitano inauzwa Kigamboni Mikadi Beach, Dar Es Salaam (1200 sqm)

Huduma na Sifa
Maelezo
🏖️ NYUMBA YA GHOROFA INAUZWA – KIGAMBONI MIKADI BEACH 🏖️
Fursa ya kipekee ya kumiliki Beach House ya kisasa katika eneo la Kigamboni Mikadi Beach, karibu na bahari na barabara ya lami.
✅ Nyumba ya ghorofa
✅ Vyumba 5 vya kulala (vyote Master Bedroom)
✅ Sebule kubwa na ya kisasa
✅ Jiko la ndani
✅ Eneo la ukubwa wa Sqm 1,200
✅ Eneo limepimwa na lina Hati ya Wizara
✅ Nyuma ya nyumba kuna ufukwe wa bahari (Beach Front)
✅ Mbele ya nyumba imegusa barabara ya lami
✅ Mazingira mazuri na salama kwa makazi au uwekezaji
⭐ Linafaa kwa:
• Boutique Hotel
• Airbnb
• Holiday Home
• Makazi ya Familia
• Uwekezaji wa Kitalii na Biashara za Mapumziko
💰 Bei: TZS 680,000,000
📌 Maongezi kidogo yapo kwa mnunuzi mwenye nia ya kweli.
📞 0769 554 221
#trending #videos #istagram #tanzania🇹🇿 #realestateforsale















