Nyumba ya vyumba 6 inauzwa Chamazi, Dar Es Salaam
Chamazi, Dar Es Salaam
3 hours ago
Sh. 230,000,000
Maelezo
🏡 JUMBA LA KIFAHARI LINAUZWA
Bei: TSh 230,000,000 (mazungumzo yapo)
Sifa za nyumba:
Vyumba 6, vyote Self Contained
Muundo wa kisasa na nafasi kubwa ya kuishi
Hati: Mauziano ya Serikali ya Mtaa (Sales Agreement)
Piga simu sasa:
Usikose fursa ya kumiliki nyumba ya kifahari kwa bei yenye thamani yake. Wahi kupanga miadi ya kutembelea nyumba leo!















