Tafuta

Apartment inauzwa Chanika, Masantula, Dar Es Salaam

video thumbnail
Sh. 140,000,000

Huduma na Sifa

Maji
Parking Space
Kisima
Tanki la Maji
14 units
4 units: Master + Sebule + Jiko

Maelezo

🏢🔥 APARTMENTS ZA BIASHARA ZINAUZWA – CHANIKA, MASANTULA 🔥🏢

Fursa adhimu kwa mwekezaji makini 💰
Hizi apartments zipo CHANIKA, Masantula, eneo tulivu, salama na linalofikika kwa urahisi.

✅ 14 units tayari zipo na zina wapangaji
- 4 units: Master + Sebule + Jiko
- 5units: Master + Sebule
- 5 units: Master rooms

💸 Unaanza kukusanya kodi mara moja baada ya kununua

🔥 Faida kubwa:
- Ni nafuu zaidi kununua kuliko kuanza kujenga kutoka foundation hadi finishing
- Unaepuka gharama za vifaa, fundi, muda na usumbufu wa ujenzi
- Property tayari ipo kwenye hali nzuri sana
- Thamani ya eneo na nyumba inaendelea kupanda kadri muda unavyokwenda
- Inafaa kwa mapato ya kodi ya muda mrefu na uwekezaji salama
- Parking ya kutosha, gate 2, maji ya kisima + DAWASA, water tank

💰 Bei: TSh 140,000,000/=

Karibu mwekezaji, hii ni deal ya kula kodi leo na kuongeza thamani kesho 🤝
“Dalali wako Wakishua” 🏡✨

Matangazo yanayofanana Chanika, Dar Es Salaam

Apartment ya vyumba viwili inauzwa Chanika, Dar Es Salaam (700 sqm)

Sh. 76,000,000

For Sale2 beds700 sqmapartment
  • Maji

  • Kisima

  • Ndani ya Compound

Apartment ya chumba kimoja inauzwa Chanika Masantula, Dar Es Salaam

Sh. 145,000,000

For Sale1 bedapartment
  • Luku Inajitegemea

  • Maji

Apartment ya chumba kimoja inauzwa Chanika Masantula, Dar Es Salaam

Sh. 145,000,000

For Sale1 bedapartment
  • Luku Inajitegemea

  • Maji

Apartment ya vyumba viwili inauzwa Chanika Mwisho, Dar Es Salaam (480 sqm)

Sh. 75,000,000

For Sale2 beds2 baths480 sqmapartment
  • Kisima

  • Sebule

  • Dining